Uchambuzi makini wa mtaalamu wa masuala ya elimu juu ya matokeo kidato cha nne 2012.

GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
1,889
Reaction score
1,127
Naamini kwa mtu makini na mdau wa elimu atakubaliana na mimi kuwa watoto wa kidato cha nne 2000-2012 wanajitahid sana!

Km mtaalamu wa masuala ya elimu hupaswi kulinganisha matokeo ya miaka ya nyuma kwa sababu kila mwaka kuna mabadiliko eitha ya ongezeko la shule zinazoanza kutoa mazao ya kidato cha nne, watoto wanaomaliza nao wanaongezeka, mabadiliko ya kitechnology, na watoto wengi wa karne hii ni watukutu hawapendi kusoma wanaenda shule kukua.

Pia huwezi kulinganisha matokeo ya enzi zile za shule 30 tz yoote ambapo watoto karib 99% walikuwa wanafaulu na sasa hivi ambapo tuna shule karib 10000+.

Jiulize kwa nini shule zoote za zaman bado zinafanya vizuri? Jibu,,, watoto wanaochaguliwa kwenda pale ni bright makapi ndo yanapelekwa shule za kata.

Tatzo la matokeo mabaya kidato cha nne linaanzia kwenye selection mbaya ya watoto wa kujiunga na form one.
 
Wa2 weng wapo vijijin na huko kuna mitandao ya kijamii jaman ?,kuwa na shule nying c sababu ya wanafunz kufeli huu n uongo uliokomaa,tatizo wanafunz weng wanadhan suala la elim n la ziada sanaa so kwangu haya matokeo niliyategemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…