UCHAMBUZI: Maneno ya matusi yatafanya wimbo wa Ben Pol ufungiwe?

Wadau huwa naupenda sana music bila kujali ni music wa aina gani,lakn huwa naamini daima music huambatana na mambo mabaya kama vile Lesbianism, gayism,human trafficking na utumiaji wa madawa ya kulevya so,nikisikia msanii au mwanamuzik kafanya mambo kama hayo aliyoyafanya huyo kjana Ben huwa sishangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…