Uchambuzi: Nini Maana ya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Sekretarieti, Mkutano Mkuu?

Uchambuzi: Nini Maana ya Kamati Kuu, Halmashauri Kuu, Sekretarieti, Mkutano Mkuu?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Haya maneno yamekuwa yakisikika sana midomoni mwa Wanasiasa wakubwa na wadogo.

Kuna mahali watu wanayachanganya wengine kwa kujua na kutokujua.

Wadau wa siasa za Tanzani tujitokeze hapa angalau kwa kundi Mhhimu la.Wanajamii forums na wasomaji wake tuweze kuelewa mambo haya kwa kiasi cha kuridhisha.

Kamati Kuu ni nini? Inaundwa na watu gani, wanateuliwa na nani? Je Halmashauri Kuu ina umbo na muundo gani? Nani anaiunda? Wanapatikanaje?

Vile vile kwa Mkutano Mkuu na Sekretarieti ya vyama.

Karibuni wajuzi wa Mambo

Cc
Pascal Mayalla
Lucas Mwashambwa
Choice Varible
Erythrocyte
Lord Denning
Allen Killewela
Johnthebaptist
 
Kamati kuu ni ile ina wajumbe 21 wanateuliwa na Mwenyekiti wao maccm inacombine marais wastaafu.Pm,spika na wajumbe wengine wanaopigiwa kura na na wajumbe wa Nec.na hao wajumbe wa nec hua wanachaguana huko usisiemuni kuna nafas hua kila mkoa unapewa na jumuia za maccm afu mkutano mkuu ni yale maccm yanayotoka huko mikoani yanapigiwa kura kuanzia vijijini to cut the story yote majizi tu machumia tumbo kasoro mh luhaga mpina ndo ccm mwenye akili
 
Kuuliza swali JF na kujibiwa kikamilifu ni jambo gumu sana. Imagine hakuna jibu hata moja, hata wengine hatuwezi kujifunza.

Ina boa
 
Kamati kuu ni wenye ccm yao. Huwa hawazidi watu 35.

Hao ndio wafanya maamuzi ya kuchagua nani awe mgombea urais wa ccm. Kutoka kwenye majina matano waliyopewa na kamati ya maadili.

Tambua hao kamati kuu huwa wana ma bosi wao katika ccm wanajiita Kamati ya maadili. Ambao ni ma rais wastaafu tu + makamu mwenyekiti wa ccm. Hao ndio wanatoa majina mfukoni na hakuna wa kuwauliza.

Hao wote wanapanda ma V8 tupu na wana walinzi..

Sio wale waliojaa kwenye Yutong za dodoma. Wale hawana nguvu ya kuamua nani awe rais

Ndio maana mama aliwaambia hawana mamlaka ya kumtoa nje eti wamjadili
 
Kamati kuu ndio kikao cha juu zaidi cha chama. Kwa case ya CCM na Chadema kunakuwa na viongozi waandamizi wa serikali wanaotokana na chama mfano Rais, Makamu wake, Waziri mkuu, spika wa bunge n.k pia wanakuwepo wenyeviti wa jumuiya zote za chama mfano UWT, UVCCM, Wazazi n.k

Mkutano mkuu unafanyika at least mara moja kwa miaka 5 unapitisha wagombea urais pamoja na uchaguzi wa uongozi wa juu wa chama.

Ila baraza kuu kwa case ya chadema ni kika cha kiutendaji cha mkutano mkuu. Hiki kinafanyika kila mwaka na wajumbe wake ni kamati kuu, viongozi wa kanda, mkoa na wilaya

Ili kutofautisha mkutano mkuu na baraza kuu, wajumbe wanaongezeka kwenye mkutano mkuu ni wenyeviti na makatibu wa jimbo pamoja na wajumbe wanaochaguliwa na mabaraza eg BAVICHA, BAWACHA etc, pamoja na wajumbe wawakilishi wa kila wilaya.

Secretariat ya kamati ni watendaji wa shughuli za kila siku za chama. Mwenyekiti wa secretariat ni katibu mkuu wa chama na anasimamia watendaji wengine kama wakurugenzi wa idara za chama, manaibu katibu bara na zanzibar, makatibu wa BAWACHA, BAVICHA, BAZECHA na wataalam 5 wanaoteuliwa na katibu mkuu.
 
Mkutano wenye nguvu na ambao CCM halisi ni mkutano Mkuu wa CCM hao wengine ni vibaka kama vibaka wengine
 
Okay kwanini usinge upload hapa tukajisomea bwana Lucas?
Ye mwenyewe haelewi kitu😂😂😂😄✌️
163192.jpg
 
Back
Top Bottom