Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo
Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo
Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia kutokana na kuwa na wafungaji tia maji tia maji .......hawatapata goali hata la offside
Mechi itakwisha Kwa Simba 0.........3 power Dynamo
NB: tuombee sana ....matokeo yapinduke[emoji23]