Uchambuzi: Simba imejifunza madhara kuwabia Yanga wachezaji airport

Uchambuzi: Simba imejifunza madhara kuwabia Yanga wachezaji airport

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Msimu uliopita makolo walijigamba kuwa wachezaji wake wote waliibiwa Kwa Yanga pale walipokanyaga tu airport....Kwa msioelewa ni hivi ....Yanga inatafuta wachezaji then inawakodia ndege but kutokana na ujasusi wa 5imba inakwenda kuwanasa airport...Yanga wanabaki kushangaa[emoji23][emoji23]

Usichokijua kuhusu Yanga
Yanga inawalisha information fake makolo kuhusu Wachezaji inaowataka kumbe hao wachezaji ni rejected ( magarasa) then inawakodia ndege huku Makolo wakijua na kwenda kuwaiba airport.....kumbe ndo hawa wazee

Mfano Yanga walijifanya kumtaka pa jobe ...then wakawalisha info makolo secretly....then makolo wakajua hii ni Mali tuwaibie Yanga [emoji23][emoji23] unfortunately kumbe ilikuwa ni planned...

Nb Yanga wanatumia mbinu katili za Putin [emoji23]..... Putin alivyoona zile patriots ad zinamsumbua pale Ukraine akaanza kurusha bomb toys kama 200 Ili kuzipoteza zile Ad ...then kitu kizito kinatua[emoji23][emoji23]
1713898279862.jpg
 
Hua nikimkumbuka Ahmed Ally nacheka sana anakwambia Simba wataendelea kuwateka wachezaji wa Yanga airport hata kama hawawahitaji. Simba ni kama nyoka, anakugonga unakufa wakati hawezi kukula.
 
Hua nikimkumbuka Ahmed Ally nacheka sana anakwambia Simba wataendelea kuwateka wachezaji wa Yanga airport hata kama hawawahitaji. Simba ni kama nyoka, anakugonga unakufa wakati hawezi kukula.
Ndo hivyo mkuu ... kitengo Cha ujasusi Yanga wako vzr
 
Back
Top Bottom