Uchambuzi: Usajili wa Simba ni kama ujenzi wa mnara wa babeli

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
USAJILI WA SIMBA NI KAMA UJENZI WA MNARA WA BABELI.

Wakati wa ujenzi wa mnara wa Babeli mtu anaagizwa alete tofali yeye anaenda kuleta kilita cha ulanzi. Aliyeagizwa alete mchanga yeye analeta ukuni.

Hali hiyo ndiyo inayopitia simba kwasasa!

Mashabiki wa simba wanahitaji uongozi usajili Top players. Lakini uongozi unaamua kwenda kuokoteza wachezaji wa mafungu mafungu mtaani.

Wakati wenzao yanga wanasajili akina Max, Pacome, Aziz Ki, Yao nk. Huko simba ndiyo kwanza utasikia Kapama, Mwanuke, Kennedy, Saido na wengine ndiyo hao wakuokotezwa huko.

Any way. KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA.

[emoji2399] Oscar OscarJrr
 
Hali hiyo ndiyo inayopitia simba kwasasa!

Mashabiki wa simba wanahitaji uongozi usajili Top players.
Pale shabiki wa daima mbele nyuma mwiko anapoanza kuchungulia kwenye kambi ya mnyama mjue anataka kuliwa kiboga, mmetukimbia zenji mnadhani hatutawakula?

Tuna timu mbovu ila kwa nini mmetukimbia zenji?
 
Attachments

  • FB_IMG_1696523646503.jpg
    9.7 KB · Views: 4
Pale shabiki wa daima mbele nyuma mwiko anapoanza kuchungulia kwenye kambi ya mnyama mjue anataka kuliwa kiboga, mmetukimbia zenji mnadhani hatutawakula?

Tuna timu mbovu ila kwa nini mmetukimbia zenji?
Mashabiki wa simba wanahitaji uongozi usajili Top players. Lakini uongozi unaamua kwenda kuokoteza wachezaji wa mafungu mafungu mtaani.
 
Pale shabiki wa daima mbele nyuma mwiko anapoanza kuchungulia kwenye kambi ya mnyama mjue anataka kuliwa kiboga, mmetukimbia zenji mnadhani hatutawakula?

Tuna timu mbovu ila kwa nini mmetukimbia zenji?
Kule Zanzibar ilikuwa ni ku test wachezaji
 
Simba ndiyo timu unayoifuatilia kuliko zote Afrika Mashariki. Ndiyo roli modo wako bila shaka.

Hujawahi kulala bila kuiandika Simba. Na hata kama ni usiku wa manane utaamka ukaandike.

Ndiyo timu unayoiwaza muda wote, ndiyo timu unayoitangaza na kuipaisha muda wote iwe kwa Negativity au kinyume chake.

Shabiki wa utopolo mwenye kuiwaza simba.

Nb: Jitahidi uwe unaandika na mazuri ya Yanga basi, tunajua sisi simba hatuna jema, Waandike hata hao Yanga wasio na chembe ya doa lolote.
 
Sawa mkuu....but sisi kama wachambuzi kazi yetu ni kuusemea mpira wa bongo.....so ukiona Yanga hawasemwi ujue kwenye Hilo suala wejitahidi

But hata Yanga wakizingua mbona Huwa nawachana
 
Unatest mchezaji ambae uko nae kambini mwaka mzima.

Wee Dada una akili kweli!

Mabinti wengine bhana, fikiri ndiyo uandike.

Unamtest Moloko, Ngushi, Mauya, Kibabage, Mshery, Msize nk

Si ukae kimya tuu! Utakufa?
Yaaah gamondi alisema kabisa....alikuwa anataka a prove kama ana kikosi kipana
 
Pale shabiki wa daima mbele nyuma mwiko anapoanza kuchungulia kwenye kambi ya mnyama mjue anataka kuliwa kiboga, mmetukimbia zenji mnadhani hatutawakula?

Tuna timu mbovu ila kwa nini mmetukimbia zenji?
Huna ladha, tulisha kumega 5 tukagundua huna ladha sahihi.
 
Shida washabiki wa Simba nao wakiwa wanashinda shida ukiwaambia ukwel wanakuja juu wakidinywa wanaanza kubweka na mangungu na try again akili za viongoz vinasadifu Akili za washabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…