Uchambuzi: viongozi Simba wanaoneana aibu

Uchambuzi: viongozi Simba wanaoneana aibu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
VIONGOZI WA SIMBA WANAONEANA AIBU

Moja ya Kitu Kinawagharimu SIMBA Ni Kushindwa Kufanya Maamuzi Magumu kwa Kuoneana Aibu, Kuangaliana Usoni.

NB..! Hawapo Klabu Bingwa, Hawapo Kombe la FA Wamebaki Kwenye Ligi Kuu Tu Pekee

Makolo wanatumia slogan ya kagere
"Mnafiki ishi nae kinafki[emoji23][emoji23]
1712718253561.jpg
 
VIONGOZI WA SIMBA WANAONEANA AIBU

Moja ya Kitu Kinawagharimu SIMBA Ni Kushindwa Kufanya Maamuzi Magumu kwa Kuoneana Aibu, Kuangaliana Usoni.

NB..! Hawapo Klabu Bingwa, Hawapo Kombe la FA Wamebaki Kwenye Ligi Kuu Tu Pekee

Makolo wanatumia slogan ya kagere
"Mnafiki ishi nae kinafki[emoji23][emoji23]View attachment 2959708
Wameshatufanya sisi ni mazezeta!!
 
Simba alitusumbua sana kwa vipindi 4 mfululizo kimsingi hawapaswi kuonewa huduma tuendelee kukaza kamba na kuipa team nguvu iweze kubeba makombe 2 yaliyosalia Kisha tuanze msimu kwa kishindo tuchukue la 4 ndipo turudi mezani kuwahoji kulikoni!?
 
Watapukutika Kwa pressure
Simba alitusumbua sana kwa vipindi 4 mfululizo kimsingi hawapaswi kuonewa huduma tuendelee kukaza kamba na kuipa team nguvu iweze kubeba makombe 2 yaliyosalia Kisha tuanze msimu kwa kishindo tuchukue la 4 ndipo turudi mezani kuwahoji kulikoni
 
VIONGOZI WA SIMBA WANAONEANA AIBU

Moja ya Kitu Kinawagharimu SIMBA Ni Kushindwa Kufanya Maamuzi Magumu kwa Kuoneana Aibu, Kuangaliana Usoni.

NB..! Hawapo Klabu Bingwa, Hawapo Kombe la FA Wamebaki Kwenye Ligi Kuu Tu Pekee

Makolo wanatumia slogan ya kagere
"Mnafiki ishi nae kinafki[emoji23][emoji23]View attachment 2959708
Wewe UTO ukitoka hapo mnasema yanga wanaijadili yanga na simba wanaijadili yanga, sasa hapa unafanya nini?
 
Acha wateseke braza sisi tulipambana na team vibaya mno wakati wa Zahera na Kindoki wake imagine Kuna mechi tuliingia huku kabwili akionekana shujaa golini tumetoka mbali sana ukiona Simba imelegea piga hata goli 10
Wapigwe tu [emoji23]
 
Back
Top Bottom