Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Ni ratiba yake ya kila siku..kupanda treni ya jamii,kutoka nyumbani kwenda kazini na kurudi ni hivo hivo,alishazoea,ndo maisha yake ndani ya miaka 10..
...Alishawajua kwa majina na sura abiria wenzie wazoefu..ni maisha nje ya treni na ndani ya treni alijiona yuko nyumbani...mpaka ilipokuja siku hii mbaya kwenye maisha yake...
...Michael mcavery alipanda treni kurudi nyumbani akiwa na deni la kampunii kichwani...kabla hajajua analitatua vipi..anakutana na mwanamke ambae hajawahi kumuona ndani ya treni hapo kabla...sio mwanamke tu ni jasusi mwenye fani ya saikolojia...
...Anapoamua kuzungumza nae kama abiria wengine,ndipo wanapocheza mchezo wa kufanya muda uende ili wafike haraka...ni mchezo huo ndio ulioyaweka hatarini maisha ya michael mcavery...
..Joanna mwanamke mwerevu kiakili..alimwambia michael mfano ndani ya hii treni kuwe na abiria mwenye begi,ambae hatakiwi kuwepo humu ndani..sababu ndani ya begi lake kuna kitu muhimu kwenye maisha ya wengine ndani ya treni...nikikwambia umtafute ukimpata kuna zawadi...je utampata???...
...Dola laki moja za kimarekani kama zawadi kwenye mchezo wa utani!!..serious!!!!!....michael alipoamua kucheza utani huo ndipo alipojikuta kwenye janga lisilotaka utani hata chembe...
...Alizikuta dola chooni...na mwanamke yule hakuwepo kwenye treni tena...ni kama kivuli alivotoweka...na ndipo michael alipopokea simu yenye maelekezo ya nini cha kufanya..
...Ni mchezo hatari unaochezwa na watu wenye nguvu kwenye system....michael mcavery..askari mstaafu mwenye medani za utukufu nyumbani..ambae serikali ilimuhitaji aendelee na kazi hata baada ya kufika miaka 60....leo anahitaji kuuvaa ujemedari wake na kutatua tatizo ndani ya treni.
..Tatizo ambalo limebeba mamia ya raia wasio na hatia....ndani ya treni inayokwenda kasi mwanaume huyu alitakiwa kumtafuta mtu mwenye begi...anaeitwa prynne..mabehewa zaidi ya kumi..watu zaidi ya 300..wanaoshuka na kupanda kwenye vituo tofauti..anampataje mtu huyu!..
..Kibaya zaidi kapewa na kituo anachoshuka mtu huyo..kwamba akishuka bila yeye kumuona basi pete ya mkewe aliletewa kwenye treni...kuwa familia yake nyumbani ipo hatarini...what a mess!...
....Cha ajabu asilimia 90 ya abiria wana mabegi..rangi gani!!..hajaambiwa!..ukubwa gani hajaambiwa!...huyo mtu mwanamke au mwanaume pia hajaambiwa...atafute mwenyewe kabla treni haijafika kituo anachoshuka mtu huyo...
...Unafanyaje hapo...ni race against time...saa ya michael ilikuwa inafanya kazi kuliko ile ya posta clock tower...ni lazima aurudie uanajeshi alikouwa nao miaka ya nyuma..ni muhimu awe yule michael ambae serikali inamjua..sio michael huyu mfanyabiashara...yees
...Camera zisizoonekana zilikuwa zinamuonesha kila analofanya...hakutakiwa kwenda kinyume na maelekezo na hakutakiwa watu wajue kuwa anatafuta nn..story na abiria imemponza...utani usio na mpango unamuweka matatani...na vituo vilizidi kusogea...
....Nini afanye nini asifanye...inatakiwa akili ya kumfanya adui yako asikuone..na ubora wa fikra unaofanya kazi ya kompyuta mpakato...
....Ni liam neeson tena..kwenye ubora wake wa kuvunja pattern...