Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili hapa mkuu,Goli alilofunga Mayele lilifungwa na Mtoto wa Mbeya kwanza Wakati ligi inaanza ila halikusemwa kwasababu ni Wa Mbeya Kwanza, Cross Ilipigwa kwa Tick Tack Moja Hatari na gori likafungwa zaidi ya Lile la Mayele Tafuta Clip utaona
Goli alilofunga Mayele lilifungwa na Mtoto wa Mbeya kwanza Wakati ligi inaanza ila halikusemwa kwasababu ni Wa Mbeya Kwanza, Cross Ilipigwa kwa Tick Tack Moja Hatari na gori likafungwa zaidi ya Lile la Mayele Tafuta Clip utaona
Lkn goli la Mbeya kwanza halikufungwa kiugumu zaidi......lkn goli la MAYELE limefungwa katikat ya wachezaji wawili ....na ilipigwa Dry crossGoli alilofunga Mayele lilifungwa na Mtoto wa Mbeya kwanza Wakati ligi inaanza ila halikusemwa kwasababu ni Wa Mbeya Kwanza, Cross Ilipigwa kwa Tick Tack Moja Hatari na gori likafungwa zaidi ya Lile la Mayele Tafuta Clip utaona
Hata wachaga wanajua hilo