Uchambuzi wa goli la Fiston Mayele

Uchambuzi wa goli la Fiston Mayele

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Goli la Fiston Mayele ni moja kati ya magoli bora Sana duniani kuwahi kufungwa tangu mchezo wa soka uanze

Tujikumbushe goli kama hili limewahi kufungwa na Cristian ronaldo akiwa pale Madrid

Kwa upande wa bongo goli kama hili lilifungwa na mnyama Chripin Ngush wa Mbeya kwanza kwenye mech na mbeya city. Pale mbeya kwanza walivokuja na come back ya kibabe kurudisha goli mbili

NOTE:. Makolo fc (Simba ) tangu kuanzishwa hawajawahi kufunga goli kama hili wala hawajui linafungwa vipi. Labda kama wamewahi kufunga kwenye mech za mazoez leten ushaidi hapa.

Mbinu kwa wazazi Kwa hili goli hili ....unaruhusiwa kumpa mtoto akamuonyeshe headmaster pale baada ya shule kufungua ....badala ya kubeba risit za malipo.


FB_IMG_16405818939462766.jpg
 
Duh ! Mama j nakuona uko katika ubora wako leo. Nafikiri nikutokana na viporo vya pilau la juzi ulilofakamia kwa kapumbu
 
Hakuna kolo hata mmoja anaweza piga chuma Cha vile.
 
Kuna goli Ajibu alifungaga akiwa Yanga, nakumbuka nalo ni acrobatic japo sina uhakika kama nalo linafanana na hili la Mayele
 
Makolo jana wamelala na viatu.

Hawaamini tena. Yaan hapo jumamosi wanakipiga na wana lamba lamba mechi ambayo wanaweza kufa.

Kitu cha kushangaza ni kwamba wanawatwisha biashara na timu zingine zigo la misumari la kuwafunga Yanga, zigo ambalo wao wameshindwa kulibeba.
 
Makolo jana wamelala na viatu.

Hawaamini tena. Yaan hapo jumamosi wanakipiga na wana lamba lamba mechi ambayo wanaweza kufa.

Kitu cha kushangaza ni kwamba wanawatwisha biashara na timu zingine zigo la misumari la kuwafunga Yanga, zigo ambalo wao wameshindwa kulibeba.
tuwatwishe vipi biashara? kwan yule alusema biashara wakisuluhu na simba watapewa milioni kumi amehamia simba?
kila mtu ashinde mechi zake hata kwa mbeleko fresh tu
 
Mkuu hii akili umekopeshwa na manara kwa riba ya asilimia ngapi kwa mwaka? Labda mkopo wa Nzi wa kijani , lakini siyo pesa.
Hapana mkuu.....lile goli linakubalika kiasi kwamba NBC hauwezi tiliwa shaka
 
Back
Top Bottom