otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo.
Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele, timu ambayo inaweza kumzuia Azizi Ki na Pacome wasiingie kwenye boksi ni timu ya kuogopa sana.
Niliishuhudia Simba ambayo Iko imara Kwa Kila sehemu, na kizuri zaidi wachezaji wote Wana Kaba kitu ambacho kilikosekana Kwa misimu miwili iliyo pita.
Simba washukuru kupata kipimo sahihi najua kupitia kipimo hiki Cha jana ni wazi wamepata mwelekeo wa timu Yao kuelekea msimu ujao.
Wana simba wanao ujua mpira hawawezi kuumia Kwa haya matokeo ya jana, Nina Imani wengi walifurahi sana.
Najua Gamond amepata somo kuelekea msimu ujao, atakuwa na upinzani mkubwa sana mana Azam pia niliwatazama wako njema sana.
Nilizitazama simba na Yanga, aisee nilishuhudia mpira mkubwa sana, niseme tu kitu kimoja, msimu huu unao kuja mmoja lazima alete kombe la CAF iwe ni Klabu Bingwa au shirikisho.