Uchambuzi wa picha za Ahmed Ally Jana

Uchambuzi wa picha za Ahmed Ally Jana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya mechi ya kukata nashoka Jana na wanasimba kutoka kidedea Kwa kupata point 1 picha mbalimbali za semaji la simba Ahmed Ally

Zifuatazo ni picha za semaji

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Je hii picha inaonesha mambo yafuatayo

1. Masononeko
2. Mateso
3. Huzuni
1738856750582.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kazi na mahaba havijawahi kumuacha mtu salama! Huyu refarii huenda ana matatizo ya afya ya akili, kwa maneno mengine ni mwehu!
 
Kazi na mahaba havijawahi kumuacha mtu salama! Huyu refarii huenda ana matatizo ya afya ya akili, kwa maneno mengine ni mwehu!
Una maanisha nn mkuu😂😂
 
Back
Top Bottom