Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 Apr 12, 2018 #1 Huyu jamaa asaidiwe kwenye uchambuzi wa Soka Makosa ni mengi sana
bhachu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 8,443 Reaction score 9,854 Apr 12, 2018 #2 Mchambuzi uchwara
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,420 Reaction score 18,298 Apr 12, 2018 #3 Huyu jamaa heri awe ana Google hata maana kila siku anakosea sana
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,952 Reaction score 1,181 Apr 13, 2018 #4 Kwan 16/17 alikuwa na goli ngapi
Usher-smith MD JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 9,558 Reaction score 12,335 Apr 13, 2018 Thread starter #5 abbaczo said: Kwan 16/17 alikuwa na goli ngapi Click to expand... 12 goals
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Apr 13, 2018 #6 Shafii ni Simba damu, watu wa Simba ni waongo waongo sana
IFRS JF-Expert Member Joined Dec 19, 2014 Posts 2,915 Reaction score 5,233 Apr 13, 2018 #7 Ila Mimi najua CR7 amekuwa mchezaji bora misimu 4 mfululizo na Mwaka huu anatimiza msimu wa tano
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Apr 13, 2018 #8 Ndo mlo wake ulipo.