Kamugisha138
Member
- May 5, 2023
- 22
- 23
"Marumo Gallants wameingia kwenye michuano ya CAFCC kibahatibahati na wameitumia hiyo bahati kufika hapa walipo. Waliingia michuano hii kutokana na Mamelodi Sundowns kuwa bingwa wa ligi na michuano ya Super 8 na wao wakiwa wanafainali"
"Mechi ya Yanga vs Marumo Gallants naifananisha na ile ya Simba na Kaizer Chiefs kwa sababu Kaizer Chiefs walikuwa hawana ubora kwenye ligi lakini waliwashangaza Simba, hivyo hivyo kwa Marumo Gallants msimu huu. Yanga wanapasw akujifunza kilichowatokea Simba"