Uchambuzi wa Timu ya Marumo Gallants

Kamugisha138

Member
Joined
May 5, 2023
Posts
22
Reaction score
23
"Marumo Gallants wameingia kwenye michuano ya CAFCC kibahatibahati na wameitumia hiyo bahati kufika hapa walipo. Waliingia michuano hii kutokana na Mamelodi Sundowns kuwa bingwa wa ligi na michuano ya Super 8 na wao wakiwa wanafainali"

"Mechi ya Yanga vs Marumo Gallants naifananisha na ile ya Simba na Kaizer Chiefs kwa sababu Kaizer Chiefs walikuwa hawana ubora kwenye ligi lakini waliwashangaza Simba, hivyo hivyo kwa Marumo Gallants msimu huu. Yanga wanapasw akujifunza kilichowatokea Simba"
 
Kwa hatua ya Nusu Fainali kila timu inayo nafasi. Kila mtu ashinde nyumbani kwake.
 
Tujifunze kwenye nn?. Koloz hawana Cha kutufundishaaa. Watuacheeeee
 
Unaiombea Yanga dua mbaya? Sheeeendwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…