Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Ulipoanza na hayo maneno yako ya kebehi, sijui MAKOLO, au KOLO, imeonyesha moja kwa moja hujaja kuonyesha udhaifu tulionao, bali kuwaponda watani wao!Leta facts
Mimi nina wazo tofauti . Hawa wachezaji wa Yanga hakuna mechi yoyote ya kimataifa ambayo waliwahi kuishinda katika klabu yao tangu 2015.Binafsi naona atleast wachezaji wa yanga
Aaaah hapana mkuu.....haya sio majina ya kebehi ....ni utan tu ambao usitutoe kwenye ukweliUlipoanza na hayo maneno yako ya kebehi, sijui MAKOLO, au KOLO, imeonyesha moja kwa moja hujaja kuonyesha udhaifu tulionao, bali kuwaponda watani wao!
Inaweza kuwa kweli.....Mimi nina wazo tofauti . Hawa wachezaji wa Yanga hakuna mechi yoyote ya kimataifa ambayo waliwahi kuishinda katika klabu yao tangu 2015.
Nahisi huo mkosi kwa taifa stars kufungwa na kila timu unaletwa na hao jamaa zetu wa Yanga.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkuu sasa huoni kwamba hiyo 64% ya magunzi yaliyochanganywa kwenye betri ndiyo yanayosababisha tochi inashindwa kuwaka?Inaweza kuwa kweli.....
Lkn
Mbona hiki kikosi kilijaa wachezaji wa Simba zaidi.......36%
Boko walijua atasaidia kwa uzoefuManura huwa anafungwa magoli ya kizembe sana na huwa hajutii, wala kuonesha kuumia...
Nakumbuka magoli ya Kaizer Chiefs, yale yote angeweza yapangua
Bocco kaisha tayari, sijui wanalazimisha nini, mtu goigoi kama yule
Hamna......hao 64% Ni mchanganyiko wa wachezaji wazuri....kutoka timu tofautMkuu sasa huoni kwamba hiyo 64% ya magunzi yaliyochanganywa kwenye betri ndiyo yanayosababisha tochi inashindwa kuwaka?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkuu Sasa kipi Bora Kati ya kocha wazawa au wakigeniMakocha wazawa wengi waswahili, wachezaji wetu wengi wavivu hawajitumi na ni wazee wamekalia majungu, ulozi, ulevi na bangee, viongozi wa mpira ni Miungu watu hawapendi kukosolewa, Mashabiki wa Simba na Yanga wote ni makocha wachezaji wao wasipoitwa timu ya taifa ni nongwa, Soka lina chawa wengi kwa matajiri yani ligi kuu ukichezesha wachezaji 12 wote wageni wazawa wote wakakaa benchi ni poa tu eti watu wamewekeza. Academy ya mtibwa sugar na mtaalam wa scouting ya wachezi chipukizi hapo anaweza akawasaidia wala haina haja ya kwenda ulaya.
Unaweka ushabiki.....halafu hutaki watoa maoni waweke ushabiki.Nb / Full time SIMBA 0-3 UGANDA. Matokeo ya jumla SIMBA 0-4 UGANDA..
Swali: je unakubaliana na hili??
Nb : ushabiki tuweke pembeni
Uganda cranes kiwango chao cha soka kiko juu sana kuliko Taifa stars, hata kwenye ranking za FIFA.[emoji599] HATUJA STAHILI MATOKEO HAYA.
Je: ile kauli ya CEO wa KOLO kuwa makolo wame possess 36% ya taifa stars ime reflect yaliyomo????
Facts za kiuchambuzi
Ukweli lazima usemwe, baadhi ya wachezaji wa Simba wanacheza kwa kujisikia. Hawajitumi, hakuna budi kuwalaumu wao kwa kutuhujumu.
Ukimtazama AISHI MANULA.. Ambaye nd'o kipa namba moja, anafungwa magoli gani yale ya kizembe? Hivi ile penalti ya kushindwa kuokoa? Halafu tunaambiwa nd'o kipa namba moja. Kipa bora. Ni vichekesho mno.
MKUDE.. Hajitumi ipasavyo, anazunguka tu uwanjani. Ameona haitoshi akaamua kucheza faulo makusudi ili tufungwe tuondolewe. Na bado akawa hakabi.
JOHN BOCKO.. Sijajua huyu aliingia kufanya nini? Kama angekuwa hataki kucheza angekaa benchi tu kuliko kuwapa mzigo wenzake. Yeye ni mshambuliaji, ajabu hakuna shuti hata moja alilo piga wala hakuweza kuisumbua safu ya ushambuliaji ya UGANDA. swali alikuwa ni beki au nani?
Kuna yule mdada anaye jiita C. E. O, niliona chapisho lake moja akisifia kwamba wachezaji wa timu yake wapo wengi sana timu ya taifa. Na akawataja wote na nafasi zao wanazo zicheza uwanjani. Ajabu hao hao alio wataja ndio ambao wameshiriki kuiondoa Timu ya taifa mashindanoni.. Binafsi mimi sioni umuhimu wa wachezaji wa Simba kuwa nao kwenye timu ya taifa.
Nb / Full time SIMBA 0-3 UGANDA. Matokeo ya jumla SIMBA 0-4 UGANDA..
Swali: je unakubaliana na hili??
Nb : ushabiki tuweke pembeniView attachment 2344721
Mkuu Sasa kipi Bora Kati ya kocha wazawa au wakigen
Bora wa kigeni mana wao huwa hawana longo longo wanasimamia professional zao na wapo tayari kufukuzwa wakibongo wanaongozwa na mawazo ya mashabiki wa mitandaoni na viongozi wa TFF.Mkuu Sasa kipi Bora Kati ya kocha wazawa au wakigeni