Uchambuzi: Wachezaji wa Simba wameifelisha Taifa Stars

Bora wa kigeni mana wao huwa hawana longo longo wanasimamia professional zao na wapo tayari kufukuzwa wakibongo wanaongozwa na mawazo ya mashabiki wa mitandaoni na viongozi wa TFF.
Shida bongo kila mtu ni mchambuzi
 
Shomary Kibwana, Dickson Job, Mwamnyeto, Feisal, Farid, Sure Boy, hao wote waliizamisha stars mechi ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…