Uchambuzi: wydadi anaweza kula mvua ya magoli Kwa yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salam Wana jf
Katika harakati za Uchambuzi wangu Leo nilikuwa naangalia baadhi ya mechi za kimataifa walizocheza Yanga vs mechi za kimataifa walizocheza wydadi Casablanca

Nimegundua yafuatayo hizi timu zinacheza aina sawa za soka

Wote wana mpira wa spidi, lkn Yanga katika mechi zake huanza Kwa mpira wa spidi ndogo huku akiwasoma wapinzani lkn kadri muda unavyosonga spidi yake inakuwa kubwa mfano ....angalia ushindi wake hupatikana kipindi cha 2 hivyo kuweza kuchosha mwarabu na kumpiga Kwa counter attack tofauti na Simba ambayo haina wachezaji wenye kuhimiri mbinu

Weka mbinu zingine ambazo Yanga wanazo
1680469021108.jpg
 
OK unataka facts nakupa fatcs, Yanga
Leta facts za mpira mkuu
Unacheza second tie league ya africa katika team tano zilizofudhu robo fainali ya confidaration zilifeli kutoka champions league, kumbuka champions league ndio mash8nsano makubwa africa kuanzia ukubwa wa mashindano mpaka intensity ya game ni tofauti kabisa, hiyo inaakisi kabisa mechi za ccfc na ccl ni tofauti, usijisifu unambio msifu na anaekukimbiza wakati unajisifu sijui yanga mnachezaje kipimo chako ni nani, kama al hilal tu amekushinda na hajafika hata robo fainali sembuse wydad, tuje kwenye kufunga sasa,, mme funga goli nane confidaration, Simba kafunga kumi wydad kafunga saba, hawa wanaume wawili wapo ccl, shorts on target simba kapiga30+ akishika nafasi ya pili nyuma ya raja kwa idadi ya walipiga mashuti mengi hizo ni on target, wydad on target 25 akiwa wa watano, yanga on target 19 huko confidaration, wydad amemaliza kundi wakwanza akiwa hajapoteza game yoyote yanga kamaliza wa kwanza akiruhusu bao 4 wydad kamaliza mbele ya athletic luanda as vita na js kabyle, hapo una mazembe bamako na monastry, na bado umeruhusu bao za kutosha, nyumbani kakusanya alama zote tisa na ugenini kakusanya alama saba umekusanya ugenini alama nne maana rahis wydad anakufunga popote,,quality ya wachezaji, ikiwa na wachezaji watano waliofika fainali ya kombe la dunia qatar, wageni wanne tu na ni mabingwa wateteze, wewe mchezaji wa daraja A la world cup huna hata mmoja,, usishawishike na siasa za mpira kuwa utamfunga nyingi wydad kwa kifupi hata kwa mkapa anakugonga, ikitaka fatcs nimeleta facts,, nikiwaita yanga wote mataira nipo sahihi njoo na facts mnamfungaje bao nyingi whydad
 
Nmekupata mkuu.....lkn uki base kwenye morale ya Yanga as wanyozidi kucheza ndipo pumzi + speed ya timu inaongezeka
 
Kukuta kupo mkuu
Hata mechi ya kirafiki watakataa, ni kujichosha tu. Ingekuwa Yanga inasogea kidogo kwenye Champions League, labda siku moja wangekutana. Wydad huwa haichezi shirikisho hivi karibuni
 
Nmekupata mkuu.....lkn uki base kwenye morale ya Yanga as wanyozidi kucheza ndipo pumzi + speed ya timu inaongezeka
Morale sio fact ni opinioni kwani nnauhakika uma base kwa yanga tu hujawaona wydad wala morale yao, you need fact nimekupa facts morale inaeza kuwepo na isiwepo vile vile ndani ya dk 90 hizoizo
 
Hata mechi ya kirafiki watakataa, ni kujichosha tu. Ingekuwa Yanga inasogea kidogo kwenye Champions League, labda siku moja wangekutana. Wydad huwa haichezi shirikisho hivi karibuni
Watakutana......Yanga atachukua ubingwa shirikisho....na wydadi Casablanca atachuka CAF
 
Morale sio fact ni opinioni kwani nnauhakika uma base kwa yanga tu hujawaona wydad wala morale yao, you need fact nimekupa facts morale inaeza kuwepo na isiwepo vile vile ndani ya dk 90 hizoizo
One day itatokea na utaona
 
Back
Top Bottom