Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
Habari Zenu Wana Jf Wote!!
Mimi Binafsi Nimesoma KATIBA PENDEKEZWA Hadi Mwisho Na Nimezielewa Baadhi Ya Ibara Na Vipengele Vyake.
ILA. Kiukweli Bila Kuirudia Kuisoma Tena Kwa Makini Zaidi Hakika Huwezi Elewa Kilichoandikwa Humo Na Hii Ndo Inasababisha Kutoelewana Humu Coz Kuna Wengne Wameisoma Wakaielewa Na Kuichambua PIA Kuna Wengne Wameisoma rafu rafu ndo Maana Wanakua Wagumu Kuelewa Humu Na Kusema KATIBA Haifai.
USHAURI
Ewe MTANZANIA Nakushauri Uisome KATIBA PENDEKEZWA Kwa Umakini Zaidi Na Uache BANGI Wakati Wa Kuisoma KATIBA Yenyewe.
Ni Haki Yako Kuisoma Ili UTAKAPOIKUBALI Baadae Ujue UMEIKUBALI KWA MISINGI IPI au UTAKAPOIKATAA Ujue UMEIKATAA Kwa MISINGI IPI.
Usiwe Kama Bendera Fata Upepo.
Na Sio Kwa Sababu Umesikia WACHUNGAJI Wanaipinga Basi Wewe Humo Humo Ukiulizwa Sababu Hata Hujui.
wachungaji Ni watu kama wewe tu USIKUBALI Kuwa Kama BENDERA.
PENDEKEZO :-
Me Napendekeza Kwamba Kwa Sababu Humu Najua Tuko Watu Wa Aina Tofauti Na Walioilewa Hii KATIBA PENDEKEZWA Kwa UFASAHA Ningeomba Japo Kila Siku Tuijadili Japo SURA MOJA AMA MBILI NDANI YA KATIBA,Na Hii Itasaidia Kupunguza Ubishi Usiokua Na Maana Humu Coz Mtu Akileta Anapewa IBARA
NOTE: iisome katiba then take your own DECISION.
Nawasilisha.