Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Huduma za uchangiaji damu nchini Kenya zimeathiriwana na janga la Covid-19, kwani wachangiaji ambao wamepokea sehemu ya kwanza dozi au dozi kamili ya chanjo ya AstraZeneca wanapaswa kusubiri kwa angalau siku saba kabla ya kuchangia damu.

Huduma ya Kitaifa ya Uchangiaji Damu nchini humo hukabiliwa na changamoto ya kufikia lengo la kukusanya damu painti milioni moja kila mwaka.

Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kipindi cha kuahirisha utoaji damu kinawapatia fursa wachangiaji kutathmini ikiwa wana athari yoyote baada ya chanjo.

Muungwwana blog
 
Back
Top Bottom