Nawasalimu kwa jina la gwajimanizer, hili la uchangishaji wa fedha kwa wanachi wa kata ya kishili jijini Mwanza ili kuwezeaha kuleta mwenge wa uhuru, ivi serikali sI huwainatenga kiasi kwaajili ya Mwenge wa uhuru inakuaje wananchi tuchangie fedha za mwenge??
Inahitajika 2M kuleta mwenge aisee