A assuredly4 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,216 Reaction score 220 Jan 7, 2012 #41 sehemu kubwa ni tabia ya mtu kuna wengine wameingizwa katika biashara haramu bila kujua wengine kukidhi tamaa za maisha ya matanuzi wengine kukidhi tamaa za miili yao
sehemu kubwa ni tabia ya mtu kuna wengine wameingizwa katika biashara haramu bila kujua wengine kukidhi tamaa za maisha ya matanuzi wengine kukidhi tamaa za miili yao
A assuredly4 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,216 Reaction score 220 Jan 7, 2012 #42 niliwahi sikia kuna mwingine alikuwa aafanyakazi benki kuu lakn alikuwa anafanya uchangudoa
A assuredly4 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,216 Reaction score 220 Jan 7, 2012 #43 hvyo wengine ni kutafuta mafanikio/utajiri bila kutoa jasho/kufanyakazi
A assuredly4 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 1,216 Reaction score 220 Jan 7, 2012 #44 wengine ni usalama wa taifa wako katika kutafuta habari
Dunda kwetu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 265 Reaction score 37 Jan 7, 2012 #45 Changu doa samaki mmoja mtamu sana na ana tabia ya ukarimu Wiki end njema
Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,630 Reaction score 1,945 Jan 7, 2012 #46 Kama uchangudoa ni kufanya sex ya kulipwa bc sioni aliyenafuuj
Kiziza JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 439 Reaction score 77 Jan 7, 2012 #47 Uchangudoa siku hizi umepanuka,kuna watu wanatembea na wanaume hata hawawapendi ila kwa vile ana fedha huo ni uchangudoa pia na hawa ni wengi kuliko wanaosimama barabarani.
Uchangudoa siku hizi umepanuka,kuna watu wanatembea na wanaume hata hawawapendi ila kwa vile ana fedha huo ni uchangudoa pia na hawa ni wengi kuliko wanaosimama barabarani.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jan 7, 2012 #48 Some people are just promiscuous by nature i.e. they are genetically predisposed to promiscuity. Some prostitute themselves to earn a living.
Some people are just promiscuous by nature i.e. they are genetically predisposed to promiscuity. Some prostitute themselves to earn a living.