Pre GE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo kadi zenyewe mnalazimisha wachukue, si mnawaambia mikopo kutoka HESLB watapata wenye kadi tyuuh, Lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siasa kila sehemu, shida hii
Vijana wanachukua kadi kwa hiyari yao wenyewe.hii ni kwa kutambua ukweli kuwa CCM ndio chama pekee kilicho na uchungu na maisha yao na chenye kuwajali.
 
Ndo nakuambia hivyo, huku niliko katibu wa Ccm kata anahamasisha wazazi wenye watoto waliohitimu kidato cha 6, wakate kadi, lasivyo watakosa mikopo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu mtanzania CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
 
Unajidhalilisha mtu mzima chawa. Nonsense
 
Acha uhuni wako we jamaa lini na wapi kama sio uongo vijana wengi wamechoka hadi wengine wanaamua kuchoma picha yake hadharani wewe unaleta propaganda zako uchwara
 
Acha uhuni wako we jamaa lini na wapi kama sio uongo vijana wengi wamechoka hadi wengine wanaamua kuchoma picha yake hadharani wewe unaleta propaganda zako uchwara
Umechoka wewe na ujinga wako.lakini vijana waliomaliza kidato cha sita bila bughudha wala usumbufu wana mshukuru sana Mheshimiwa Rais
 
Usimshangae luca ndio kura zenyewe zinapigwa hivyo na wasiooona wanawasaidia vilivyo huku miayo ikiwa kaanga,hata huyo Luca🫠
Mamilioni ya watanzania wana kiu kubwa sana ya kusubiri siku ya uchaguzi ifike ili waipigie CCM kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Hii kondomu inasemaje!!
 
Hao wazazi wao wamepoteza bure fedha zao kuwapeleka shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…