Pre GE2025 Uchapa kazi wa Rais Samia wawakosha Vijana waliomaliza kidato cha Sita, Watafuta Kadi za CCM usiku na Mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lucas. kwanini hutaki kutafuta kazi ya kipato chako halali uachane na kazi ya kusifia tu kila siku?
 
Lucas. kwanini hutaki kutafuta kazi ya kipato chako halali uachane na kazi ya kusifia tu kila siku?
Kazi yangu ni kilimo .na wala sisifii bali nazungumza ukweli japo ni mchungu kwa baadhi yenu msiopenda kusikia ukweli au mtizamo tofauti na wako.
 
Lucas Mwashambwa, the headless chicken is here again!
 
Tangazo Tangazo
Huyu ni mgonjwa wetu, ametoroka mirembe asubuhi ya leo. Chochote anachokiandika hapa, bado hajapona na kakimbia matibabu. Mchukulieni hivyohivyo.
MILEMBE HOSPITAL
 
Tangazo Tangazo
Huyu ni mgonjwa wetu, ametoroka mirembe asubuhi ya leo. Chochote anachokiandika hapa, bado hajapona na kakimbia matibabu. Mchukulieni hivyohivyo.
MILEMBE HOSPITAL
Acha ujinga wako ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…