wanawake ni wazuri kwa ku keep na ku save
ukipata ambae sie 'shangingi la mjini la kurushana roho na wenzie'...
ndo maana wanaume wengi hufanikiwa after marriage..
kwangu mimi siwezi ni kamuacha mpaka ana fiko hapo, lazima ni mwambie.
Lakini kumbuka wanaume tunatofautiana wengine akiona wewe ni mchafu ana take advantage ya kutoka nje.
Na lazima ukubali kuna wanawake wahashauriki ni wabishi, ukimwambia ajirekebishe atasema kazi ndio zinasababisha.
umesema vizuri sana ila kuna wale wababa ambao wanaonaga kama vile mama mchapa kazi kama ni mshamba wewe unaiona vipi hii
hawamuoni mshamba
ni kawaida watu ku take for granted what they have already
aisee boss nimmeshuhudia kisa kimoja kimeniuma sana a man anacukua kila kitu kwa mkewe anakwenda kutumbua kwa kimada zikiisha anarudi tena????tena anasema huyu ni mzuri ngozi laini ndoa anyestaili kupata raha???
nashukuru kwa ushauri wako huu. haya je kwa yule mwanamke ambaye ni mchapa kazi lakin baba anamfanya kama shamba la kwenda kuchuma na kutumbua anatumbua na awapendao?
Duh! yaelekea humu jf wengi ni wavivu ani mmenisusia kabisa?
sasa mwanamke akikubali kuwa 'a door mart'
unategemea vipi
ingawa huyo mume pia si mtu
gfsonwin leo nimekuwa msomaji tu maana kiukweli sijawahi ona wala kusikia uchapaji kazi ukawa issue kwenye ndoa, nadhani ndo maana ilitumika kama mojawapo ya vigezo vya mwanamke kuolewa enzi hizo. Ila the opposite (uvivu) ndo inakuwaga tatizo.
Kuna wanaume ambao wake zao ni wa chapa kazi lakini wao wanatapanya mali hvyo kwa vimada, na wake zao wakihoji watapea kila ain ya kashjfa, eti wanataka kuwatawala............. Nishaishudia hiyo.
Lakini pia kuna wale ambao hawana karama lakini ni washauri wazuri kwa wake zao wachapa kazi na ndio pale unakuta mume ni thinker na mke anapiga mzigo na kipato kinaongezeka.
Tunatofautiana sana namna ya kufikiri kuna wale wanaoamini kwamba wanawake hawatakiwi kumiliki mali , na wakiona mwanamke anapata mafanikio wao hujitahidi kuwarudisha nyuma kwa makusudi, hata ikiwezekana kuwakodia majambazi ili akwame wafanane.
hapo ndipo tunaambiwa kuwa tuwe waangalifu tunapo chagua watu wakuwa nao maishani!
Mtu kama huyo hashindwi kukuwekea sumu ukafa.
Kwa mtu ana yekupenda kweli lazima athamini mchango wako hata ukikosea ata kwambia?
Na ukiona mwanaume ana kufanyia hivyo ujue hapo hakuna upendo wa dhati.
Nitabia ambayo wanaume wavivu wa kufanya kazi huitumia!
my dearest bro mito hii ishu ya uchapaji kazi now men use it alternatively yaaani to them wanaona kama ni sababua ya mwanamke mchapakazi kuwa chuma ulete. nimshuhudia mwanaume anachukua vitu mkewe anavyolma na kupeleka kwa kimada na tena kimada anapita akijishaua yeye atafute kule ndo supermarket yangu!!!!!!!!!!!!!! hivi inakuingia akilini?
imagine mkeo analima mbog mboga kwenye vinyungu, anafuga tukuku na tumbuzi analima maind na mpunga just to increase family surplus wewe unatafuta kimada kwenda kutumbua naye kweli is this fair au kuna ulonzi hapo? yaani nimewaza hadi mabaya a husband saying wewe ngozi yako imekomaa naenda kula na ngozi laini????????????????? yaani this world ma dearest iache tu iwe kama ilivyo.
yaani rutta binafsi tabia hii inaboa sana na mimi huwaga nasema kabisa nikutanapo na case kama hizi mama vaa sura ya kazi yaani ukivuna weka stoo na uifunge funguo tembea nazo. yaani hapa ndipo watu wanasemaga wamachame wauaji kwa stail kama hii wacha waue tu aisee! alaaaa! mwanaume mwanaume surualia kiha unaleta uduwanzi wa kutapanya mbona nafyeka maeneo mkuu!
mito labda nikwambie huyu ni msomi asiye elimika manake ni mzee wa makamo kimtindo na alisoma huko ughaibuni enzi za mwl degree ya pili. kafanya haya hadi sasa kahama nyumba yaani halafu alichelewa kuoa so anawatoto wa sec kwa sasa mtu ambaye alitakiwa kuwa na wajuu labdagfsonwin huo (in red) nau-regard kama ni unyanyasaji wa familia, udhalilishaji wa kijinsia, na matokeo ya kuwa ktk ndoa ya kulazimisha, yaani mwenzio ameishakuchoka mpaka basi tena! Vitendo hivi mara nyingi hufanywa na wanaume ambao wanatumia vibaya masculinity yao, na wengi wao huwa ni shule-less. Ukikuta mwenye shule yake anafanya hivyo ujue basi ni yule aliesoma bila kuelemika. Vipi huyo unayemrifaa ana shule kweli?