amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Hello đź‘‹
Katika nchi zinazotumia wizi kama nguzo kuu Kuna vitu very common miongoni mwao kama KUTUKUZANA, KUBANA VYOMBO VYA HABARI, KUBANA UHURU WA UMMA NA KUOGOPA KUKOSOLEWA.
Viongozi wetu wanaingia bungeni kwa lengo la kutengeneza pesa na sio kutatua shida za wananchi, HAWAPIGI KELELE KUPUNGUZA MATUMIZI YA SERIKALI NA WANAONA RAHA KUPOKEA MILLION 600 ILA WANANCHI WANAOWAONGOZA WANAKUNYWA MAJI MACHAFU.
Kwako Shigongo endelea kutunga vitabu ACHANA NA HUU UCHAWAđź”’
Ni vyema kama umemuelewa sisi wengine Bado tupo Burundi.