Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
UCHAWA NI JANGA LINALOITAFUNA NCHI KIMAADILI
Sisi tuendelee na kukemea Uchawa kwanza. Mifumo ya nchi inavurugika kutokana na Uchawa. Mtu Akiwa chawa anakuwa ameukana Uzalendo wake kwa nchi. Tuutokomeze Uchawa ili watu waone fahari kujiita ndugu au Comrade.
Tukifaulu hapa Watu watasoma Ilani, Katiba, Kanuni, Miongozo na Taratibu. Watu watajisikia fahari kutetea vitu hivyo kuliko Sasa. Wakimuona mtu anakumbushia vitu hivyo kwa uchawa wao wanamuona Mshamba
Wanaamini kwenye Ubinafsi na uchoyo Kuliko ujamaa. Tusichoke kutoa Elimu.
Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 07 Kisha ibara 08 (1)(2)(6) ibara yote ya 15 ibara 12(1)(a) ili kwenda uk 152 Ahadi za Mwanaccm tukihitimisha na ilani uk 01 ibara 04 na uk 08 ibara 10 na 11
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mathias Mugerwa kahinga