Uchawa Promax? Mmarekani "afurahishwa" na ubunifu wa RC Makonda jijini Arusha

Uchawa Promax? Mmarekani "afurahishwa" na ubunifu wa RC Makonda jijini Arusha

McLaren

Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
53
Reaction score
78
Wakuu,

Imefikia hatua sasa CCM wameanza kutumia wazungu kama machawa wao ili waonekane wananfanya kazi

=========================================


Ryan Shirley kutoka Jimbo la Utah, Magharibi mwa Marekani ameeleza kufurahishwa na mabadiliko makubwa kwenye mandhari ya Jiji la Arusha, akimpongeza Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda kwa ubunifu wake wa kuifanya mitaa ya Jiji la Arusha kuwa kivutio kwa wageni na wenyeji wa Mkoa huu ulio kitovu cha Utalii Tanzania bara.

Bw. Shirley ambaye alifika Mkoani Arusha mara ya mwisho miaka miwili iliyopita, amekiri kuwa kuwekwa kwa Wanyama wa aina mbalimbali kwenye mizunguko hiyo ya barabara, wakitambulisha mazao mbalimbali ya utalii yanayopatikana Mkoani Arusha, kumeubadilisha Arusha kwa kiasi kikubwa.

Ryan ambaye alipata fursa pia ya kuwasilisha salamu zake kwa Mhe. Makonda, ni miongoni mwa watalii na wageni wanaohudhuria shamrashamra za Kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Kitaifa hapo Machi 08, 2025.
 
Watu weusu hakuna kitu tunajua..

Wazungu na watu weupe wamefundishwa diplomacy anzia chekechea..

Huwez enda kwenye nchi ya watu ukawambia watoto wana malnutrition barabara mbovu au wanaish kwenye nyumba mbaya..

Wanaandika kwenye hard data na wanaweka kwenye mitandao vingine vya uwongo..

Hawa wachina na waarabu unaowaona hapa vile vile hadi mikutano ya hadhara wanaenda

They need our Money , and the best way is to talk good about aaanyting political..

Btw kwa miundombinu tumepiga hatua kama taifa... Kutoka tulipokuwa...
 
Back
Top Bottom