Uchawa ni utaratibu wa kujipendekeza ili kujinufaisha. Hii ni tabia ya kinafiki ya kukuza wanao kusaidia kwa kupandisha ego zao ili waendelee kuishi kwa kufikiri wenyewe ni wa maana hata kama sio hivyo. Kibaya ni pale ambapo hata vyombo vya sheria na kiusalama wamekuwa machawa.
Ali Kiba alisema Wakenya ni wazalendo kuliko sisi na yuko sawa. Watu wangapi wapo proud na mfumo na viongozi wetu wabinafsi.
Alisema Kenya watu wanaweka password Kenya kwanza! Vijana wangapi wanafikiria Tanzania kwanza. Wengi hasa viongozi kwao Tanzania shamba la bibi.