nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
MODS: uchawi siyo uchawa
kuna maneno ambayo yamekuwa fuelled na yanga kupitia msemaji wao na kocha wao zahera alichowaambia wacongo wenzake kwamba simba huwa wanapulizia sumu kwenye vyumba vya kupumzikia
inasikitisha sana,bora mropokaji manara kuliko mtu anayenyamaza kimya kama zezeta akitoa kauli ni kinyesi kitupu,mnafanyia mzaha lakini kila team itakayofungwa hapa tanzania itasema ni sumu hata nyie yanga yatawarudia haya maneno ya kijinga,mliwaambia wakaja hadi na masks?yaani wapuliziwa sumu wakapambana vile ndani ya dakika 90 na dakika ya 88 walikosa goal la ushindi?soura waliopigwa tatu wasemaje?
ona sasa mliwaambia pia uwanja huwa unalogwa wakamwaga uchawi wao kabla ya mechi,huu ni ujinga,mtawakaribisha pia mazembe na maneno hayo jamani?UCHAWI NA SUMU?
Wanasingizia na maji ya kunywa yalikuwa na sumu,walikataa basi walilopewa na simba ina maana walishindwa kununua katoni za maji zu zilitekwa na simba zikawekwa sumu?