Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,527
- 6,306
Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu, kwakweli miafrika tuna safari ndefu sana.
Lile 'bonge' kama wewe sio CCM wala usithubutu kuangalia. Watakuharibia siku. Lazima wamsifie hakukuwa na kura wala uchaguzi wamewekwa tu pale wanakula vinono unategemea nini? Hiyo ni project maalumu kuyeyusha kuwa 'anachukiwa'.Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu, kwakweli miafrika tuna safari ndefu sana.