mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 18
- 128
Kabisa hichi kitu ni hatari kwa maslahi mapana ya Taifa letu..Ifikie mahali uchawa uwekwe kama miongoni mwa maadui wa taifa.
Taifa liwena maadui wanne 1.Ujingq 2.Usmakini 3.Maradhi 4.UchawaIfikie mahali uchawa uwekwe kama miongoni mwa maadui wa taifa.
Usitake kupotosha hoja ya kuliponya taifa.Hawa Jamii forum pia ni machawa wa watawala na chama chao
Kuwa na adabu mkuuHawa Jamii forum pia ni machawa wa watawala na chama chao
Luka ukuje kwa huku upate darasaNakala kwa Lucas Mwashambwa na wenzie
ni kwel kuna nyuzi wanazifuta juu kwa juu, wameniboa xana kwa sasa cna hata moodHawa Jamii forum pia ni machawa wa watawala na chama chao
Kama za kichawa bora wapite nazo huko huko juukwajuni kwel kuna nyuzi wanazifuta juu kwa juu, wameniboa xana kwa sasa cna hata mood
Sana pia Mimi, na Uzi zinaprotect watu wa CCM, ngoja tukaandike twitterni kwel kuna nyuzi wanazifuta juu kwa juu, wameniboa xana kwa sasa cna hata mood
Hii ni sawa kabisa.Taifa liwena maadui wanne 1.Ujingq 2.Usmakini 3.Maradhi 4.Uchawa
Adabu IPI mods, hata hata hao machawa ukiwaambia ukweli watakuja juu kama nyie, badilikeni, zamani hamkuwa hiviKuwa na adabu mkuu
et talk openly hakuna kitu ,hv hakuwa waxemaj wa jf mana watu wameanza kulalamika ni bora tujiache wabaki wa mapenz tuSana pia Mimi, na Uzi zinaprotect watu wa CCM, ngoja tukaandike twitter