Mkuu usije ukasafiria yota ya mwenzio! Ka Mwijaks huwa nasikia kameolewa na Mwarabu wa Dubai!Insonekana mdomo siku hizi unalipa kuliko Elimu ya darasani, Jaku boy aporomosha bungalow jingine la kifahari. Tizama hilo dude la jaku boy
View: https://youtu.be/wLAM96wo7Bc?si=VBBhGihNMUkNwIz_
Kina doto magari wametoka kuwa wezi, sasa wanasafiri ughaibuni na kula maisha ya kifahari kuliko wasomi. Kweli ukisikia nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho, madogo siku hizi hawawi inspired na elimu bali sanaaa. Waalimu waliosoma wamechoka kuliko influencers wa mitandaoni na Content creators
Piki piki hawapoi watu washaanza kukimbiza G.Bwana makebo
Unahitaje laana wakati wenzako wanafanikiwa... Baba levo tayari ni mbunge, Jaku Boy ndio hiyo anapanda ndege tu na kujenga majumba, doto magari anasukuma mipira tu barabarani, alafu kuna wewe ambae unasema uchawa laana alafu unalala chini, sasa kati ya chawa na wewe nani anakuwa kapata laana, laana haiwezi kuambatana na mafanikioUchawa ni laana
Hawezi kuwa na kazi moja, ila uchawa ndio mzizi wa mafanikio... anapata connection na kujuana na watu kupitia uchawa... Sasa unakuta mtu ni balozi wa kampuni ya ujenzi kama Wale wa Wall Putty na Gipsum, unadhani watataka balozi wao hawe na wall putty ya hovyo au Gipsum... Indoserment na makapuni anayoyatangaza pia yanahakikisha anapata kituo bora, ukijumuisha na kupiganisha mitikasi yake ambayo hatuijuiKwa akili yako unaamini kabisa pesa za uchawa hizo?
Husipende kuamini kila unachoambiwa bila kukifanyia utafiti, kumbuka uongo usambaa haraka kuliko ukweliMkuu usije ukasafiria yota ya mwenzio! Ka Mwijaks huwa nasikia kameolewa na Mwarabu wa Dubai!