Uchawa unalipa. Mwijaku aonesha Jumba lake la Kifahari jingine

Hao wajinga ndio siku hizi wanaonekana most successful people
 
Kuna mdau humu huwa anapenda kusema "KUNA MSTARI MWEMBAMBA SANA UNAOTENGANISHA UCHAWA NA USHOGA" Naishia hapo
 
Lakini Elimu aliweka pembeni akachagua ujinga na kujidharirisha, na huo ndio unampa maisha


Mwijaku , Baba levo na Dotto na Paul brand wote ni watu smart sana


Uchawa ni biashara kubwa sana duniani ni vile sisi waswahili Huwa ni slow leaner.
 
Kuna mdau humu huwa anapenda kusema "KUNA MSTARI MWEMBAMBA SANA UNAOTENGANISHA UCHAWA NA USHOGA" Naishia hapo
Huyo mdau ana fikra za kimasikini

Hawa machawa tunaowazungumzia hapa wana familia zao, wake zao na watoto zao.

Mwijaku kila siku anafumaniwa na wanafunzi wa vyuo, mtu wa namna hiyo atakuwaje shoga wakati mbususu ndio starehe yake... Shoga hawezi kupenda mbususu.

Mashoga wanajulikana hata kwa appearance tu, si unaona kina Uncle T na wengineo
 
Mkuu legit Hadi ujengewe nyumba na wanaume wenzio? Unategemea anawaridishia nini maana wakikugharamia na wewe inabidi ugharamike
Uchawa ni haina ya Marketing strategy,

Shoga hawezi kuwa chawa, mtu akigeuzwa mwanamke typically hawezi kuwa chawa, ndio maana hakuna mwanamke chawa.

Alafu uchawa haujaanza leo, ukisoma historia vizuri, hata wafalme enzi hizo walikuwa na Machawa. (Ushushushu ni uchawa pia, kumpelekea boss taarifa ni uchawa)
 
Juzi kati bungalow la Lavalava, likaja la Konde boy, sasa mwijaku, mara Niffer kashsuha Range na Jetour thamani zaidi ya Billion.. mmh mbona Kuna harufu ya utakatishaji hapa? Content na ubalozi wa wallputty tu kweli? Niliona post Moja ya Niffer mtu kakoment alivoshusha chuma 0 km "ni biashara ya cosmetics tu hiyo?" 😂
 
Elimu gani unayosemea wewe? Hii outdated ya tangu Industrial revolution? Sahv hakuna maana tena kusoma mitaala hii inayoandaa watumwa mamboleo, AI will soon F up everything mbele ya macho yetu.
 
Mkuu kufamaniwa na wasichana wa chuo sio kipimo cha uanaume,,,huoni jinsi mashoga wanavyokuwa karibu na wanawake???
 
Cha msingi ni kuepuka umasikini... umasikini ni laana, haufai
Bwana Mhaya ni kweli umasikini ni laana kutokana na matokeo ya baadhi ya mambo. Lakini sio kila mafanikio ni Baraka.
Huwezi kufanikiwa mambo yako kwa kulawitiwa, kuiba na kudhulumu ukaita hizo ni Baraka. Jee wewe mkuu ukiambiwa uwe unalawitiwa utajengewa mjengo wa nguvu utakubaliana?
 
Elimu gani unayosemea wewe? Hii outdated ya tangu Industrial revolution? Sahv hakuna maana tena kusoma mitaala hii inayoandaa watumwa mamboleo, AI will soon F up everything mbele ya macho yetu.
Hata hii AI iliindwa na wasomi walioenda shule.

Haiku undwa na wajinga na machawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…