Uchawi je kwako unafaida?

Uchawi je kwako unafaida?

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Hii inatokea sana kwa walimwengu wa leo walio na dini na wasio na dini,
hapa kwetu kwa mfano kuna jamaa anauwezo wa kuongea na wadudu hasa wale wakali Nyoka, Nyuki Nk
kutokana na uwezo huo amejipatia ajira na analipwa Malaki kwa shughli hiyo
je? Kwa matumizi hayo ya uchawi nifaida ama hasara kwani hata viongozi wakubwa siku za kampeni haweshi kwa Sanguoma mwisho wa siku haoo wanakaa bungeni
 
Me hua nawachukia Wale wachawi wanaologa watu badala ya kufanya uchawi wao uwaletee utajiri.
 
hii inatokea sana kwa walimwengu wa leo walio na dini na wasio na dini,
hapa kwetu kwa mfano kuna jamaa anauwezo wa kuongea na wadudu hasa wale wakali nyoka, nyuki nk
kutokana na uwezo huo amejipatia ajira na analipwa malaki kwa shughli hiyo
je? Kwa matumizi hayo ya uchawi nifaida ama hasara kwani hata viongozi wakubwa siku za kampeni haweshi kwa sanguoma mwisho wa siku haoo wanakaa bungeni
JAMBOTZ, mi sijijui kama ni mchawi ama lah, naweza kuendesha gari bila kukanyaga mafuta, klachi, breki wala kukata kona. Yaani nikiingia tu kwenye gari, gari inajua nitakako kwenda, siiwashi ila inanipeleka yenyewe. Anayebisha anitafute, au amuulize Mtambuzi, mwaJ, Mamndenyi, watu8, Kipaji Halisi, ndyoko, Baba V, GreenCity na MziziMkavu nimesha wahi kuwapa lift
 
Last edited by a moderator:

Bujibuji kwa kweli siku ile mimi sikuamini macho yangu, manake hata pale Ileje niliposhukia sikuona ukikanyaga break, sijui miss strong kama alifika kwao salama!
 
Last edited by a moderator:
JAMBOTZ, mi sijijui kama ni mchawi ama lah, naweza kuendesha gari bila kukanyaga mafuta, klachi, breki wala kukata kona. Yaani nikiingia tu kwenye gari, gari inajua nitakako kwenda, siiwashi ila inanipeleka yenyewe. Anayebisha anitafute, au amuulize Mtambuzi, mwaJ, Mamndenyi, watu8, Kipaji Halisi, ndyoko, Baba V, GreenCity na MziziMkavu nimesha wahi kuwapa lift
Wewe Bujibuji acha uongo! Nilipanda kwenye mkweche wako unauendesha kwa kutumia nguvu mpaka unauma meno! Tena huku mtu amekaa pembeni yako anasaidia kushikilia gear isije ikabadilika kabla hujamwambia aibadilishe.
 
Back
Top Bottom