Uchawi katika Biashara upo.

Uchawi katika Biashara upo.

Jr. Gong Mira

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
1,281
Reaction score
1,300
Poleni na majukum ya siku nzima.
nenda katika mada.
Jamani Wafanya biashara ni wachawi sana hii nasema kwa kua imenikuta, tena mara mbili sehemu tofauti.
kunda siku nilinda kununua simu kikawaida nna duka ambalo hua ndo nmezowea kununua simu sasa siku hio nilioyokwenda simu niliyotaka sikupata hivo nikaondoka.
mara nikapita duka jengine ile kuuliza bei tu najikuta nanua simu ambayo ata sio chaguo langu, nafika home ndo nashangaa nmenunua simu ya ajabu kabisa.
na leo usiku huu nimetoka kununua chakula nmeenda sehemu ya kwanza kuku wanauza elfu 6 nikasema sawa hebu niulize bei na hapa jiran yake yeye akawa anauza elfu 7.
Basi baada ya kutajiwa bei najikuta nanua hapo pa bei ghali na kuacha sehem y awali na wakati ni kuku sawa sawa.
hapo ndo nimegundua kua wafanya biashara weng wanatumia uchawi wa kuvuta wateja ili biashara zao ziende.
 
Unaesema uchawe haupo , siku watakapokung'uta hicho kichwa na kukuachia maji tupu ndio utajua uchawi upo .
 
We jamaa achana na dhana za kishirikina.
Uchawi ungekuwa na nguvu bara la Afrika lingeimarika kila nyanja.
Ni kwakuwa tunapapia uchawi hatimaye tunapoteza muda na nguvu za kujiletea maendeleo
 
na huu wa kuombwa kitu au pesa wakati wa mgegedo afu unajikuta unakubali tu kila mzinga unaopigwa ;huu wenyewe ni uchaw au nn!
 
Kuna rafiki yangu ana kijiwe anauza vyakula mchele alionunua sh 1200 ule ule anagawanyisha mara mbili kwenye mifuko miwili tofauti mifuko mmoja anauza 1600 na wa pili anauza 1800 watu wanauacha wa 1600 wanakimbilia wa 1800 kwa hiyo mtoa mada inawezekana ulipotajiwa bei ya kuku 7000 nikaona ndo mwenye vitamin nyingi kwa hiyo ukatoa pesa kiroho safi kabisaaa!!!
 
Back
Top Bottom