Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Poleni na majukum ya siku nzima.
nenda katika mada.
Jamani Wafanya biashara ni wachawi sana hii nasema kwa kua imenikuta, tena mara mbili sehemu tofauti.
kunda siku nilinda kununua simu kikawaida nna duka ambalo hua ndo nmezowea kununua simu sasa siku hio nilioyokwenda simu niliyotaka sikupata hivo nikaondoka.
mara nikapita duka jengine ile kuuliza bei tu najikuta nanua simu ambayo ata sio chaguo langu, nafika home ndo nashangaa nmenunua simu ya ajabu kabisa.
na leo usiku huu nimetoka kununua chakula nmeenda sehemu ya kwanza kuku wanauza elfu 6 nikasema sawa hebu niulize bei na hapa jiran yake yeye akawa anauza elfu 7.
Basi baada ya kutajiwa bei najikuta nanua hapo pa bei ghali na kuacha sehem y awali na wakati ni kuku sawa sawa.
hapo ndo nimegundua kua wafanya biashara weng wanatumia uchawi wa kuvuta wateja ili biashara zao ziende.