Uchawi kiroho (Spirituality, Witchcraft and science)

Uchawi kiroho (Spirituality, Witchcraft and science)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Kabla ya mwili na nafsi ya Mwanadamu kuumbwa kwanza iliumbwa roho ya mtu.

Mwanadamu ni kiumbe cha kiroho chenye mwili. Mwanadamu anaishi ulimwengu wa roho (Spiritual realm) na ulimwengu wa mwili (Physical realm) kwa wakati mmoja.

Spiritual realm is faster than Physical realm. So spirituality matter more. Jinsi ya kuwa kiumbe cha kiroho? Jinsi ya kuongeza cheo au nguvu za kiroho?

Mtu yoyote anaweza kuwa wa kiroho hata kama unamjua Mungu wa kweli au humjui lakini unaweza kufundishwa mambo ya kiroho na ukawa mtu wa rohoni sana.
it needs information or I can say knowledge.

The one who conquer you in the spiritual realm is also conquer you in the physical realm. Aliyekuzidi katika ulimwengu wa roho tayari kakuzidi na katika ulimwengu huu wa mwili.

Ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho kote utazikuta falme hizi mbili... Ufalme wa nuru na ufalme wa giza. Tukisema nuru na giza hatumaani kuwepo au kokosekana kwa Mwanga.

Two Kingdoms
1. Ufalme wa nuru (mema)
2. Ufalme wa giza (mabaya)

The fruit of knowledge of God and Evil. Changua ufalme mmoja to attract wealth 🤑

Tunaendelea na majibu **********
 
nimeshindwa kuelewa umelenga hoja kuu au una lako specifically?

coz if you do, i have questions, like alot.

kwanza kama ulimwengu wa roho upo faster kuljko wa meili, inakuaje vinafanya kazi sambamba?

mind you (nikukumbushe) kuwa ulimwengu wa mwilini limited na wa kiroho ni eternity??

tuanze na hapo kwanza...
 
Naomba hiyo knowledge ya kuwa mtu wa kiroho boss
alafu knowledge ya kuwa mtu wa rohoni ipo kila sehemu siku hizi...kwenye imani ya kikristo unaweza kupata elimu zote za nuru na za giza, maana siku hizi, namaanisha kwenye ukristo, uislamu, ubudha, upagani, na kadhalika.

labda tuu uamue kudharau au ukutane na watu wasio sahihi wa kukuelimisha

kwa mfano, upande wa wakristo, kuna makanisa yanajiita ya kikristo ila mwisho wa siku unajikuta benet na wakuu wa giza hiviihivii yaani...
 
tukiacha unafki, TRUTH BE TOLD...

Hawa watu wa ufalme wa giza siku hizi wana Ile beta version ya kuwaabudu, yaani, sio lazima ukaroge kwa mganga, elimu imerahisishwa tena buuure, na unafundishwa kila siku kwenye movies, series, mipira, muziki, siasa, n.k.

watu wanafanya ibada mpaka unawaonea huruma yaani....na kama mazombie, hayajielewi, kuwa yashakuwa matumwa ya ufalme mmoja, huku yanajishikiza kwenye ufalme mwingine...
 
Andika zaidi

Mada hizi imejaa humu

Leta ya ufafanuzi na no do uzijuazo usukume ufunze
 
Back
Top Bottom