and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Ushaambiwa uchawi aka ndumbaNini sababu ya chakula kuchacha? Tuanzie hapa
Umeshudhudia au umehadithiwa?Usijichanganye kuanzisha biashara ya Catering kichwa kichwa. Wadau wanakupiga zongo bab'kubwa ama Chakula kinachacha ukumbini au hakiivi kabisa. Unapoteza wateja ukijiona. Imetokea mara kadhaa Chakula kinachacha saa ya kupakua mezani
Kuna dada huku bagamoyo alianza biashara ya kupika mama ntilie.wateja wakaanza kumsifia chakula chake kizuri.wakaanza kukaa kwake.ahaa
Wenzie wakamfata wakamwambia hakuna kupika chakula kizuri vinginevyo atahama mwenyewe.
Tuzungumzie kitaalamu tuache huo utaalamu kwanza, lazima tuangalia pande zote alafu ndio tujue mzani umelalia wapiUshaambiwa uchawi aka ndumba