Hii ndiyo bongo land.
Viongozi wa dini ni wachawi ile mbaya,
siasa imejaa uchawi,
mapenzi uchawi mtupu,
biashara ni mauchawi
yaani kila kitu ni uchawi hakika tumellaaniwa.
Maandiko yanasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
Halafu tunaambiwa bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
Mtakoma kuringa.