Wadau nataka kujua vitu hivyo vinaweza kutumika kumfanya mtu akafanikiwa na ni namna gani mtu ambaye hajihusishi navyo anaweza kuzuia ili visimuharibie biashara zake.
Vinaweza kukusaidia na ukafanikiwa sana Kama ukifuata masharti yake lakini Kumbuka unaingia kwenye maagano ambayo yatakutesa sanaWadau nataka kujua vitu hivyo vinaweza kutumika kumfanya mtu akafanikiwa na ni namna gani mtu ambaye hajihusishi navyo anaweza kuzuia ili visimuharibie biashara zake.