Jaman mtandaoni kuna vitu vingi sana lakini vingine vinanichanganya nimepita mtandaon nikakutana na kitu kinaitwa JINSI YA KUJIFUNZA UCHAWI Et wanasema uchawi ni sayansi tena et unaweza kujifunza uchawi wa moto. Maji. Nk.
Et kupitia kuingiza joto la moto mwilin mwako et ni kuungana na moto et waweza kuwa na uchawi kwa njia hiyo ya kutazama moto na ukaingiza nguvu ya kichawi?