Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

Kawimbo ketu..

Form one,form one iyo yoooo Mikia yaoo inamagamba.
Hapo ni kwenye mchaka mchaka.
Ole wako njuka usiimbe, na ukiimba ole uimbe Sauti nzito.

Ukiwa boya boarding za amani, lazma uwe school cheap labour. Safi Sana mshana iyo nzuri pia.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ila utakua n asili ya kiuchaw maana mtot wa form one mbona ilikua na experience sana ya uchaw?
 
Mods tayari wamejitia ku edit heading yako!!! Ilivyokuwa pale mwanzo ndio ilikuwa ina attract.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mods bwana... Wajuaji sana, et wamerekebisha kichwa cha habari.... Au uliwaomba MSHANA..??
 
Mchawi mkubwa wee... [emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…