Hapa anapita kimya kimya..Hahahah sasa huo ni uchawi mshana? Tuhadithie jinsi ulivyomloga bibiyee hadi ukampata bhanaaa
Nimecheka mpaka nimelia. Thanks for making my day aiseeNani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji unapewa kiatu kinanuka sana eti upige simu kwenyu umeme ukikatika unapewa beseni au ndoo ukaulete wao wanakuimbia wewe unakata viuno ole wako ukatae.
Form one ni full manyanyaso nikiyajua yote haya nikajiandaa vilivyo nikachukua vyura watatu wadogo nikawaweka kwenye kopo vizuri huku nimelitoboa wapate hewa
Kukaribia shule nikatafuta kichaka nikawatoa vyura wangu nilikuwa na kipande cha kaniki na kamba nyekundu sindano na uzi nikamshonea kila chura kwenye kipande kidogo cha kaniki mfumo wa hirizi na kufunga na kitambaa chekundu.
Baada ya pale moja nikaweka mfukoni mbili kwenye begi nikatinga shule Baada ya registration nikapelekwa bwenini kufika tu nikapokewa begi na wana wasachi wachukue kinachowafaa Kwanza walianza kunitaka nitoe hela nikazama nikatoka na hirizi inapumua maskini kumbe ndani ni chura anahema kwa kutopata hewa vizuri jamaa wakatimua mbio
Siku nzima ile habari ikawa kunihusu kumbe bwana jamaa walikuwa wanasubiri usiku waibe begi kunikomoa usiku wakaiba begi na kwenda nyuma ya bweni ile kulifungua tu wakakutana na hirizi nyingine mbili zinapumua walitimua mbio na kuacha begi kama lilivyo
Form one yangu ilikuwa raha mustarehe ila baadae nikaja kuwapa story yote ya uchawi niliowahi kufanya siku nakuja .
Mshana Jr si mtu mzuri kumbe amekupiga manyanga unakuwa unacheka kila sikuHahahahahaha ndo maana nakupenda mme wangu kila siku mm nachekaaaa tu
Story zakeee full kuchekaMshana Jr si mtu mzuri kumbe amekupiga manyanga unakuwa unacheka kila siku
We jamaa ni hatari..... Nethekie avaeNani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji unapewa kiatu kinanuka sana eti upige simu kwenyu umeme ukikatika unapewa beseni au ndoo ukaulete wao wanakuimbia wewe unakata viuno ole wako ukatae.
Form one ni full manyanyaso nikiyajua yote haya nikajiandaa vilivyo nikachukua vyura watatu wadogo nikawaweka kwenye kopo vizuri huku nimelitoboa wapate hewa
Kukaribia shule nikatafuta kichaka nikawatoa vyura wangu nilikuwa na kipande cha kaniki na kamba nyekundu sindano na uzi nikamshonea kila chura kwenye kipande kidogo cha kaniki mfumo wa hirizi na kufunga na kitambaa chekundu.
Baada ya pale moja nikaweka mfukoni mbili kwenye begi nikatinga shule Baada ya registration nikapelekwa bwenini kufika tu nikapokewa begi na wana wasachi wachukue kinachowafaa Kwanza walianza kunitaka nitoe hela nikazama nikatoka na hirizi inapumua maskini kumbe ndani ni chura anahema kwa kutopata hewa vizuri jamaa wakatimua mbio
Siku nzima ile habari ikawa kunihusu kumbe bwana jamaa walikuwa wanasubiri usiku waibe begi kunikomoa usiku wakaiba begi na kwenda nyuma ya bweni ile kulifungua tu wakakutana na hirizi nyingine mbili zinapumua walitimua mbio na kuacha begi kama lilivyo
Form one yangu ilikuwa raha mustarehe ila baadae nikaja kuwapa story yote ya uchawi niliowahi kufanya siku nakuja .
Nakumbuka jana ulivyonichekeshaaa kweli kuhusu ile story ya kujifunika shuka jeupe alafu unaweka na mti unakuwa kama ngongoti nilicheka sana mme wangu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]