Wala miguu ya kuku na utumbo wa kuku wa Dar ndio hawampendi Diamond kwa sababu amewazidi kipato na umaarufu.. Huku mikoani kwa wajanja wote wanamkubali Diamond
Mjanja unatoa kiingilio elfu 3 na bia juu moja unapoingia.Ni sawa na kuingia kwa sh 5 tena ile ya zamani.Mnxxxxxuu
Dar kumejaa mafukara na masikini wa kutupwa wanaoshindia mihogo ya kukaanga na miguu ya kuku.. Hao ndio hawampendi Diamond kwa sababu ana pesa
Dar kumejaa mafukara na masikini wa kutupwa wanaoshindia mihogo ya kukaanga na miguu ya kuku.. Hao ndio hawampendi Diamond kwa sababu ana pesa
mbeya hamna hoteki yenye hadhi yake ?!&
kweliii diamond amekosea
We kweli hujielewi jana usiku ulikuwa unasema upo fiesta Leo upo kigoma
Mafukara kama wewe hamumpendi Diamond kwa sababu ana.pesa wakati nyie mnaishia kula miguu ya kuku huko manzese
Dar kumejaa mafukara na masikini wa kutupwa wanaoshindia mihogo ya kukaanga na miguu ya kuku.. Hao ndio hawampendi Diamond kwa sababu ana pesa
"Heroes come and go but Legends are forever" Chibu kwa Kiba nisawa na mtoto ambaye mimba yake bado haijatungwa.
We kweli hujielewi jana usiku ulikuwa unasema upo fiesta Leo upo kigoma
Pesa zipi hizo?angekuwa na pesa angeendelea kupanga?Muulize huyo diamond kipindi anakaa tandale alikua anakula nini?Tatizo masikini mkipata mnasahau mlipotoka mnaanza ulimbukeni
Ajabu......yeye anajiona ana hadhi kisa anabana kende zile na vimodo.
We fukara mi sio level yako.. Mi usafiri wangu ni Ndege Fast Jet ndani ya dakika chache nimeshafika ninakokutaka, usinifananishe na wachimba chumvi wenzako
Upo sahihi kabisa.Ally kibba aliwafunika diamond, davido na T.I na hata angekuwepo lady JD ungemfunika.ila hao waliokushangilia jana Leo hii wamekaa majumbani mwao wanasikiza nyimbo za davido,diamond na lady JD.wewe walishakupa kisogo jana
Ndio hao hao mafukara walikufanya umjue Diamond huko kwenu kwa Zwangendaba.