Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

Fangus za Wema zinatafuna ubongo wa domo, Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake yeye analala wapi? domo amekuwa kwa kuchambia kopo leo kapata nafuu ya maisha anatukana watu??
 
The fact is unaweza kumchukia Domo upendavyo lakini huwezi kumlinganisha mafanikio yake kimuziki kwa sasa nA Kiba
 
Siku haikua nzuri kabisa Jana kwa sisi mashabiki wa Dai,,

Bt bado tuna mkubali sana tu.
 
labda diamond ajiulize kwa nini masanja mkandamizaji hachukiwi? nani asiyejua jinsi jamaa alivyo na hela? hata lady jaydee pia na kama ni suala la maisha mazuri basi hata jux na mtu kama cyril wangechukiwa pia...chunga kauli zako mr nassibu

Karibu kinywaji......
 
Ali Kiba Vs Diamond Platnumz a.k.a Sukari ya Warembo.
 
Diamond anazushiwa na maadui wake ili wamharibie sifa yake nzuri kwa watanzania na wapenda muziki ndani na nje ya Tanzania. Wapuuze wote wanaozushia yeye ndie JEMBE LETU EAST AFRICA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…