Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Fangus za Wema zinatafuna ubongo wa domo, Mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake yeye analala wapi? domo amekuwa kwa kuchambia kopo leo kapata nafuu ya maisha anatukana watu??
Ha ha ha ha ha ha ha!
Sasa mkuu Mingoi, George Bush anaweza kulala Landmark Hotel pale Ubungo? Inawezekana ni kweli Mbeya hakuna Hotel ya hadhi yake.
Basi hata waliozomea sio wa hadhi yake...ndio maana kiba wakamshangilia.
Kama mmemzomea, atakuwa anatumbuiza BET akikosa kabisa anaenda South kutumbuiza kwenye BBA.
Nyie bakini na Mwana Dar Es Salaam wenu asiyejitambua, hadi leo bado anafanya mziki wa "kitoto".
Kama amekataa kusaidiwa kupewa collabo na Diamond basi aende akafanye collabo na size yake kina Pingu na Deso.
Ushuzi......hawamuelewi.Davido kambeba sana ila jana kagundua kuwa lile ni zigo la misumari.
Ha ha ha ha ha ha ha!
Sasa mkuu Mingoi, George Bush anaweza kulala Landmark Hotel pale Ubungo? Inawezekana ni kweli Mbeya hakuna Hotel ya hadhi yake.
hakika davido kaondoka na picha tofauti kabisa
Mkuu Sumu,George Bush tangu anazaliwa amekuta maisha ya raha na anasa.Diamond ameng'atwa sana na kunguni na kuoga bafu la passportsize Tandale leo anaponda maisha ya hotel za Mbeya?

Tukio la kuzomewa diamond mpaka sasa hakuna mganga aliyejitokeza kutafuta kiki kama yeye mganga ndo kasababisha?
team kiba hureeeeeeeeeh