Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

Uchawi unaweza kuonekana kupitia CCTV?

Hao nikama wametumwa na mganga ndio maana hata ukiangalia vizuri nikama wanauoga halafu nifamilia.
Kwahiyo hata mtu angepita hapo angewaona vizuri tu
 
Sasa hapo uchawi upo wapi? Kuamini uwepo wa uchawi ni ugonjwa wa akili. Mnachotwa akili kiboyo sana. Maishani mwako hutokaa upate uthibitisho wa uwepo wa uchawi zaidi ya story za kusadikika mnazoaminishana wajinga.
 
Hakuna kitu kama hicho, haya mambo yapo kiroho zaidi hata mchawi mwenyewe ha move kwenda kokote anakuwa kwake kalala lakini same time yupo kwako anakukalia, kwahyo huwezi kuona kwa macho unless na wewe uwe mzito uingie kwenye ulimwengu wao mkaonane vizuri
 
Back
Top Bottom