Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Hapa hakuna uchawi, hao sio wachawi ila ni watu wanaofanya dawa za kiganga. Uchawi hauwezi fanya kwa style hiyoInasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV.Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
hadithi za uchawi ni za kusadikikaInasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi.