Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

Thank u controlla.
May God lead u all the way.

Mi ninaplan kufunngua car wash, nifanye nini ili biashara yangu ili iwe mashuhuri, niongeze faida.
Asante kwa kushukuru Stability

Kuhusu carwash nashauri fungua kwanza halafu nini chakufanya utajua ukishafungua,sometimes kupokea ushauri wakati hujaanza biashara husika si sahihi,

Ushauri huja baada ya wewe kuanza biashara,pale tutashauri kitu ambacho n sahihi kwa biashara yako,Yawezekana huduma zinazotolewa na Car wash zingine japo n nzuri ila kwko zisilete impact yyte,so Fungua Boss ili upate Dose kulingana na ugonjwa ulio nao.

Hizi mambo za biashara hazina General Formula,eti umeona kule na wewe ulete kwako ah weee utapasuka
 
Tunashukuru kwa madini haya bro..!kila siku naendelea kuujaza ubongo wangu vitu vipya kutoka kwenye mada zako..!
 
Kabsa mzee, arafu kutokana na hii point wewe lazima utakuwa na mfanyabiashara, maana umemshauri kibishara zaidi. [emoji106][emoji106]
 
Tangu nifungue biashara yangu japo mtaji mdogo sijawahi kuijutia biashara yangu kutokana na kupita katika njia hizi tajwa 👆👆👆

Yaani Kuna wateja huwa wanachungulia kama bado sijafungua hawanunui bidhaa kwingineko na wengine hulazimika kunipigia simu ama kusubiri mpaka nitapofungua.
Kwa kweli naifurahia biashara yangu.

Hebu fikiria kwa mtaji wa 15k nimeweza kuuzungusha japo sitaki uvuke100k kulingana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Saivi hata sitamani kuomba kazi popote. Napata nikitakacho.

AMA KWELI MTEJA ANASTAHILI KUTUNZWA JAPO WENGINE WANAKERA 🙄
 

15k ama shilingi kiongozi?,yaani unamaanisha mtaji wa Elfu 15 shillings!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…